Cover Image for Zaidi ya Lebo: Kuelewa na Kulea Watoto Wenye Autism na ADHD
Cover Image for Zaidi ya Lebo: Kuelewa na Kulea Watoto Wenye Autism na ADHD
25 Went
Registration
Past Event
Welcome! To join the event, please register below.
About Event

Autism na ADHD ni miongoni mwa hali ambazo bado zinaeleweka vibaya — zikizungukwa na hofu, uvumi, na mara nyingine lawama. Katika kikao hiki cha moja kwa moja, Hussein Mshunga, mwanasaikolojia wa watoto na mtaalamu wa autism na ADHD, atatusaidia kuzielewa kwa uwazi: dalili za kuziona, jinsi utambuzi unavyofanyika hapa nchini, na jinsi zinavyoathiri makuzi ya mtoto. Grace Mwasi ataongeza upande wa malezi ya vitendo — jinsi ya kumlea na kumtetea mtoto nyumbani, shuleni na katika jamii.

Ni kwa ajili ya wazazi, walezi, walimu, watoa huduma za afya, na yeyote anayemjali mtoto.

Una swali? Karibu — kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu, na unaweza kutuma swali lako mapema wakati wa usajili.

Jiunge nasi Jumamosi, tarehe 22 Agosti 2026, saa 12 jioni hadi saa 1 usiku.

Location
Zaidi ya Lebo: Kuelewa na Kulea Watoto Wenye Autism na ADHDSaturday, August 22 · 18:00 – 19:00Time zone: Africa/NairobiGoogle Meet joining infoVideo call link: https://meet.google.com/kis-pboq-dkq
25 Went