Cover Image for OKX EXCHANGE  DAR ES SALAAM MEET UP
Cover Image for OKX EXCHANGE  DAR ES SALAAM MEET UP
Hosted By
55 Went

OKX EXCHANGE DAR ES SALAAM MEET UP

Hosted by Graysatoshi
Registration
Past Event
Welcome! To join the event, please register below.
About Event

โ€‹Habari MTanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โ€‹Tarehe 04/04/2026 kwa mara ya kwanza kabisa timu ya OKX itafanya Meet Up rasmi hapa Dar es Salaam. Hii ni fursa adhimu kwa vijana, wafanyabiashara na wanafunzi wanaotaka kuelewa kwa kina namna ya kutumia OKX Exchange na kuchangamkia fursa zilizopo kwenye soko la crypto.

โ€‹Katika mkutano huu, beginner watajifunza mambo muhimu yafuatayo:

โ€‹1. Jinsi ya kufungua akaunti ya OKX hatua kwa hatua.

โ€‹2. Mchakato wa KYC verification kwa usahihi.

โ€‹3. Mbinu za kulinda akaunti (2FA na security settings).

โ€‹4. Namna salama ya kufanya deposit na withdrawal.

โ€‹5. Uelewa wa Spot trading na misingi yake.

โ€‹6. Jinsi P2P trading inavyofanya kazi.

โ€‹7. Matumizi ya Convert feature kwa urahisi.

โ€‹8. Trading Bots na namna ya kuzitumia.

โ€‹9. Earn products na jinsi ya kupata faida.

โ€‹10. Jinsi ya kusoma na kuchambua Markets kitaalamu.

โ€‹11. Networking na wadau wa teknolojia ili kujenga community imara ya OKX Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

โ€‹Kama upo Dar es Salaam, jisajili mapema kwani nafasi ni 100 tu ๐Ÿ“Œ Location itatangazwa baada ya kuthibitishwa ๐Ÿ“ข

โ€‹Jisajili hapa ๐Ÿ‘‰ https://luma.com/423u9awj

โ€‹Jiunge na WhatsApp Group ya OKX Tanzania kwa taarifa zaidi ๐Ÿ‘‰ https://chat.whatsapp.com/LOqV7pfPL1AFaWXc6a9s7r

โ€‹Sharing is winning ๐Ÿฅ‡

Location
Seedspace Dar es Salaam
7th Floor Tanzanite Park New, 14107 Bagamoyo Rd, Dar es Salaam, Tanzania
Hosted By
55 Went