

OKX EXCHANGE DAR ES SALAAM MEET UP
Habari MTanzania 🇹🇿
Tarehe 04/04/2026 kwa mara ya kwanza kabisa timu ya OKX itafanya Meet Up rasmi hapa Dar es Salaam. Hii ni fursa adhimu kwa vijana, wafanyabiashara na wanafunzi wanaotaka kuelewa kwa kina namna ya kutumia OKX Exchange na kuchangamkia fursa zilizopo kwenye soko la crypto.
Katika mkutano huu, beginner watajifunza mambo muhimu yafuatayo:
1. Jinsi ya kufungua akaunti ya OKX hatua kwa hatua.
2. Mchakato wa KYC verification kwa usahihi.
3. Mbinu za kulinda akaunti (2FA na security settings).
4. Namna salama ya kufanya deposit na withdrawal.
5. Uelewa wa Spot trading na misingi yake.
6. Jinsi P2P trading inavyofanya kazi.
7. Matumizi ya Convert feature kwa urahisi.
8. Trading Bots na namna ya kuzitumia.
9. Earn products na jinsi ya kupata faida.
10. Jinsi ya kusoma na kuchambua Markets kitaalamu.
11. Networking na wadau wa teknolojia ili kujenga community imara ya OKX Tanzania 🇹🇿
Kama upo Dar es Salaam, jisajili mapema kwani nafasi ni 100 tu 📌 Location itatangazwa baada ya kuthibitishwa 📢
Jisajili hapa 👉 https://luma.com/423u9awj
Jiunge na WhatsApp Group ya OKX Tanzania kwa taarifa zaidi 👉 https://chat.whatsapp.com/LOqV7pfPL1AFaWXc6a9s7r
Sharing is winning 🥇