Picha ya Jalada ya TREZOR ACADEMY SESSION 1/3
Picha ya Jalada ya TREZOR ACADEMY SESSION 1/3
Imeandaliwa na
50 Wanaenda

TREZOR ACADEMY SESSION 1/3

Imeandaliwa na Francis Tagga
Usajili
Karibu! Ili kujiunga na tukio, tafadhali jisajili hapa chini.
Kuhusu Tukio

🎓 TREZOR ACADEMY – TANZANIA 🇹🇿 Bitcoin Education • Self-Custody • Security

🌍 Trezor Academy iko katika nchi 28 duniani ✨ Tanzania ni mojawapo!

📅 Mwezi wa Pili (Februari 2026) Bitcoin Arusha kwa kushirikiana na Powa 255 itaandaa muendelezo wa vipindi 3 vya Trezor Academy:

🗓 Tarehe: • 14 Februari-BITCOIN NI NINI

• 21 Februari-MATUMIZI YA BITCOIN

• 28 Februari- WATUMIAJI WENGINE WA BITCOIN WANAFANYA NINI?

📍 Mahali: Bitcoin Arusha Hub Jengo la Mega Complex floor ya Saba/WSHA Co-working space

📝 Jisajiri hapa kwaajiri ya session ya kwanza, Usajiri wa Session ya pili na ya tatu zitafata baada ya session ya kwanza kufanyika

🏅 Vyeti (Certificates) 🎁 Zawadi mbalimbali Zitatolewa kwa washiriki watakaohudhuria vipindi vyote vitatu kikamilifu

🤝 Imeandaliwa na: Powa255 x Bitcoin Arusha × Trezor Academy

BITCOIN NI HELA!

Mahali
Westerwelle Startup Haus Arusha
Mega Complex TZ, Bondeni St, Arusha 23100, Tanzania
Imeandaliwa na
50 Wanaenda