

BITCOIN NI NINI #02
Hosted by Francis Tagga
Registration
Past Event
About Event
Karibu kwenye mkutano wa Bitcoin! Tutazungumza kuhusu teknolojia hii ya kifedha, namna inavyofanya kazi, na faida zake kwa jamii yetu ya sasa na ya baadaye.
UTAKACHOJIFUNZA
Bitcoin ni nini?
Kwanini Bitcoin
Waleti za Bitcoin
Kutuma na kupokea Bitcoin