Picha ya Jalada ya BITCOIN NI NINI #02
Picha ya Jalada ya BITCOIN NI NINI #02
Imeandaliwa na
36 Walihudhuria

BITCOIN NI NINI #02

Imeandaliwa na Francis Tagga
Usajili
Tukio la Zamani
Karibu! Ili kujiunga na tukio, tafadhali jisajili hapa chini.
Kuhusu Tukio

​Karibu kwenye mkutano wa Bitcoin! Tutazungumza kuhusu teknolojia hii ya kifedha, namna inavyofanya kazi, na faida zake kwa jamii yetu ya sasa na ya baadaye.

​UTAKACHOJIFUNZA

​Bitcoin ni nini?

​Kwanini Bitcoin

​Waleti za Bitcoin

​Kutuma na kupokea Bitcoin

Mahali
Westerwelle Startup Haus Arusha
Mega Complex TZ, Bondeni St, Arusha 23100, Tanzania
Imeandaliwa na
36 Walihudhuria