

Genesis Block Day Hangout
Imeandaliwa na Francis Tagga
Usajili
Kuhusu Tukio
Miaka 17 iliyopita, Januari 3, 2009, Satoshi alichimba Genesis Block na Bitcoin ikazaliwa 🚀
Jiunge nasi katika Genesis Block Day Hangout ya Bitcoin Arusha kusherehekea tukio hilo la kihistoria na kusikia tunachojenga mwaka huu wa 2026!
📅 Januari 3, 2026 | Saa 9 alasiri hadi 12 jioni
📍 Westerwelle Startup Haus, Arusha
Karibu sanaaTunakusubiri!
#GenesisBlockDay #BitcoinArusha